The House of Favourite Newspapers

John Ulanga Ateuliwa Kuwa Balozi na Rais Samia – Video

0
John Ulanga

Rais Samia amemteua Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), John Ulanga kuwa Balozi
John Ulanga alichaguliwa na kuanza kuhudumu kama Mkurugenzi Mtendaji wa TPSF mnamo Agosti 7, 2023
Ulanga amewahi kuwa Meneja wa Kanda wa Trade Mark East Africa (TMEA), ambayo kwa sasa inajulikana kama Trade Mark Africa (TMA)

Leave A Reply