The House of Favourite Newspapers

JPM Atoa Heshima za Mwisho Kwa Mama wa Shigongo

Rais John Magufuli akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa mama mzazi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Global Group, Eric Shigongo, marehemu Asteria Kahabi Kapela, nyumbani kwake Mikocheni B Dar es Salaam leo asubuhi. Mama Kapela alifariki alfajiri ya kuamkia jazi (Ijumaa) katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Mrisho Kikwete Muhimbili alikokuwa akitibiwa.

Rais John Magufuli ametoa heshima za mwisho kwa mwili wa mama mzazi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Global Group, Eric Shigongo, marehemu Asteria Kahabi Kapela, nyumbani kwake Mikocheni B Dar es Salaam leo asubuhi. Mama Kapela alifariki alfajiri ya kuamkia jazi (Ijumaa).

Comments are closed.