The House of Favourite Newspapers

JPM Azungumza na Rais Mteule wa Burundi Evariste Ndayishimiye

0

Rais Magufuli leo Juni 13, 2020 amezungumza kwa simu na Rais Mteule wa Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye na kumpongeza kwa uamuzi wa mahakama ya katiba nchini Burundi iliyoagizwa Rais Mteule aapishwe haraka.

 

.

 

Leave A Reply