The House of Favourite Newspapers
gunners X

JPM, JK Wakiongoza Dhifa ya Kitaifa kwa Rais wa Malawi – Video

0

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli, ameongoza dhifa ya kitaifa kwa heshima ya Rais wa Malawi, Dkt. Chakwera ambaye amewasili nchini  Tanzania leo kwa ziara ya kikazi ya siku tatu.

 

Katika Dhifa hiyo, wageni mbalimbali wamehudhuria akiwemo Rais Mstaafu Jakaya Kikwete ambaye pia leo ni siku yake ya kuzaliwa. Wageni wengine ni pamoja na Jaji mstaafu, Jaji Warioba, Waziri mstaafu, Mizengo Pinda, katibu mkuu wa ccm Dkt Bashiru.

 

Leave A Reply