The House of Favourite Newspapers

JPM, Ramaphosa Wafanya Mazungumzo

Rais  John Magufuli akimpokea mgeni wake,  Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo.

 

…Akimkaribisha mgeni wake.

 

Wakati nyimbo za taifa za Afrika Kusini na Tanzania zilipokuwa zinapigwa.

Rais  Ramaphosa akikagua gwaride la heshima.

 

Marais hao wakiwapungua mkono wananchi waliokuwa katika hafla hiyo.

 

Magufuli akimuelekeza jambo Ramaphosa.

 

…Akimueleza jambo Ramaphosa kabla ya kumpa zawadi ya kinyago cha mpingo.

 

…Akiangalia zawadi ya picha aliyopewa na mgeni wake.

 

Comments are closed.