The House of Favourite Newspapers

JUSTIN BIEBER ACHUKIZWA NA EMINEM

Mwanamuziki wa marekani Justin Bieber amechukizwa na tabia ya rapa Eminem kuwa-diss rappers wapaya, Justin aliamua kumwambia ukweli kuwa anapenda flow zake lakini anachukizwa na tabia yake kupitia page yake ya instagram insta story aliweka ujumbe  huu “I JUST LIKE EMS FLOW BUT DONT LIKE THAT HE’S DISSING NEW RAPPERS I LIKE THE NEW GENERETION OF RAP HE JUST DOESN’T UNDERSTAND IT”

Justin Bieber amekua akipenda muziki wa  kizazi kipya cha Rap na kukisapoti ila kwa  kwa  Eminem imekua tofauti kwakwe kwa kutokielewa kabisa.

Comments are closed.