The House of Favourite Newspapers

Jux Afunguka Mwanamke Anayemtaka

0

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Juma Musa “Jux “ amefunguka kuwa anatamani sana apate mwanamke mwenye akili.

 

Akizungumza na AMANI hivi karibuni, Jux alisema ukiwa na mwanamke mwenye akili lazima na wewe uwe na akili lakini pia ukiwa na mwanamke asiye na akili na wewe lazima uwe zoba.

 

“Natamani sana kupata mwanamke mwenye akili, maana ukiwa nae lazima utaona maendeleo kwenye maisha, kwa sababu anakuwa na mawazo mazuri, ukikutana na mwanamke asiye na akili sasa yeye anawaza kula bata tu,” alisema Jux.

STORI; KHADIJA BAKARI NA MEMORISE RICHARD

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave A Reply