The House of Favourite Newspapers

Kabla ya Kifo Chake Maunda Zorro Alikanusha Kutumia Madawa ya Kulevya-Video

0
                                  Maunda Zorro akifanya mahojiano na Global Radio na Global TV

MAREHEMU Maunda Zorro kabla ya kifo chake alifanya mahojiano marefu na Global Radio pamoja na Global TV ambapo alielezea safari ya maisha yake kwa ujumla lakini pia kashfa ya kwamba alikuwa anatumia madawa.

 

Katika kipindi hicho alikanusha kutumia madawa ya kulevya kwa kusema kuwa hakuwahi kutumia madawa ya kulevya japo alikiri kuwa alikuwa mnywaji mzuri tu wa pombe.

Full Interview inapatikana Youtube tembelea Global TV Online

Leave A Reply