The House of Favourite Newspapers

Kariakoo Yatengewa Bilioni 10 Kufanyiwa Ukarabati na Kujengwa Ghorofa Jipya

0
                                                                                 Soko la Kariakoo likiungua

KATIKA Mwaka wa Fedha 2022/23, Shirika la Masoko ya Kariakoo limetengewa Shilingi Bilioni 10.00 kwa ajili ya ujenzi na ukarabati kupitia Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam.

 

Mradi huu una sehemu kuu mbili ambapo sehemu ya kwanza ni ukarabati wa soko lililoungua na sehemu ya pili ni ujenzi wa soko la ghorofa sita (6) za juu na ghorofa mbili (2) za chini katika eneo lilipokuwa soko dogo ambalo limebomolewa.

                                   Muonekano wa ramani mpya ya ujenzi wa soko la Kariakoo

Aidha, Shirika litaendeleakusimamia maeneo mengine ya Shirika yaliyopo Tabata Bima, Mbezi Beach Makonde na kuweka mikakati na mifumo thabiti ya uendeshaji wa biashara.

Leave A Reply