The House of Favourite Newspapers

Kadja Nito: Nusura Nifie Leba

0
Kadja Nito.

MSANII wa filamu Bongo Natasha Lisimo ‘Kadja Nito’ amesema ilikuwa nusura apoteze maisha akiwa chumba cha wagonjwa mahututi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, wakati alipolazwa kwa ajili ya kujifungua wiki chache zilizopita.

Akizungumza na Risasi Vibes, Kadja alisema anamshukuru Mungu amepona kabisa, kwani kilichotokea anaamini ni mipango ya watu wasiomtakia mema ndiyo maana aliumwa kiasi cha kuchungulia kaburi.

“Yaani kwa jinsi nilivyokuwa naumwa kila mtu alijua nakufa, nilikuwa na hali mbaya sana, nawashukuru madaktari na wote waliokuwa na mimi wakinifariji na kuniombea uzima katika kile kipindi, japo wabaya wangu walitamani nifie leba, nguvu ya shetani imefeli,” alisema.

Stori: Mayasa Mariwata.

====

Usipitwe na Matukio, Install App Yako ya Kijanja na Namba Moja Tanzania ya Global Publishers

Android Bofya ===> Google Play

iOS Bofya ===>Apple Store

====

HUWEZI AMINI! Kisa 3000, Mzee Wa Miaka 70 Achomwa Moto!

Leave A Reply