The House of Favourite Newspapers

KADUTU: Mkiambiwa Mambo Yenu Mengine Mnakuja Juu – VIDEO

MBUNGE wa Ulyankulu, John Peter Kadutu, amesema si busara kwa Wabunge kuweka mjadala wa kuwajadili viongozi wa dini kwani wana jukumu kubwa la kuhubiri na kukataza maovu.

 

“Wakihubiri kuhusu kuzini au kuiba Mnashangilia lakini wakihubiri jambo linalogusa mambo yenu mengine Mnawajia juu, tumerogwa na nani watanzania kudhani kwamba viongozi wa dini wanachokisema ni cha uongo,” amesema Mbunge Kadutu.

 

VIDEO: MSIKIE HAPA AKIFUNGUKA

Comments are closed.