The House of Favourite Newspapers

Kamanda Muliro Atangaza Vita Nzito, Kiama Wezi wa Magari Dar-Video

0

KAMANDA wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro leo Ijumaa amesema, wanawashikilia watuhumiwa 76 kwa kujihusisha na makosa ya kijinai kama wizi wa magari na vifaa vyake, ukwapuaji wa mikoba kwa kutumia pikipiki na unyang’anyi wa kutumia silaha.

 

Leave A Reply