The House of Favourite Newspapers

Kamishna wa Magereza Aliyetimuliwa Kikaoni na Lugola Ang’atuka

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Naibu Kamishna wa Magereza, Phaustine Martin Kasike kuwa Kamishna Jenerali wa Magereza akichukua nafasi ya Dkt. Juma Alli Malewa ambaye amestaafu.

Julai 6, mwaka huu, Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Kangi Lugola alimfukuza kwenye kikao Kamishna Jenerali Malewa kwa kuchelewa kufika katika kikao chake.

 

Comments are closed.