The House of Favourite Newspapers

Kanye Kumlipa Sh. Bil 3 Yaya wa Mtoto Wao wa Tatu

0

WAKISUBIRI kwa hamu ujio wa mtoto wao wa tatu, wanamuziki maarufu nchini Marekani, Kanye West na mpenzi wake Kim Kardashian, wamesema watamlipa Sh. bilioni tatu yaya wa mtoto wao wanayemtegemea kuzaliwa mwezi Januari mwaka kesho.

Kanye (kulia) na mkewe Kardashian wakijinjari barabarani.

Akiendelea kuonyesha mapenzi kwa familiayakem, rapa huyo amesema anajiandaa kulipa kiasi cha $45,000 (Sh. zipatazo milioni 135) kwa mwanamke atakayemlea mtoto huyo lakini tu asivute sigara wala kutumia kilevi chochote.

NA SAMSON JEREMIAH/GPL

Leave A Reply