The House of Favourite Newspapers

Katibu Mkuu wa CCCM Daniel Chongolo Awasili Burundi Kwa Ziara ya Kikazi

0
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo wananchi mara baada ya kuwasili Mugina mkoani Makamba, Burundi.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akihutubia Vijana wakati wa kufunga mafunzo maalum ya Uzalendo yalioandaliwa na Chama cha CNDD-FDD katika mkoa wa Makamba, Burundi.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akipiga ngoma ya wenyeji wa Burundi mara baada ya kuwasili Mugina mkoani Makamba, Burundi.

 

Katibu Mkuu ameongozana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar) Dkt. Abdullah Juma Saadallah pamoja na Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga kwa ziara ya kuimarisha uhusiano wa vyama hivyo viwili pamoja na kuhudhuria sherehe za uzinduzi wa uwanja wa kisasa wa michezo wa Nkurunziza Peace Park Complex zitakazofanyika leo tarehe 25, Juni 2022 Makamba nchini Burundi.

Leave A Reply