The House of Favourite Newspapers

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Nchimbi apokea zawadi ya kitabu kiitwacho “Dare Not Linger

0

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Komredi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amepokea zawadi ya kitabu kiitwacho “Dare Not Linger: The Presidential Years” kilichoandikwa na aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini, Hayati Nelson Mandela na Mandla Langa, kutoka kwa Katibu Mkuu wa Chama cha Africa National Congress (ANC), chama tawala cha Afrika Kusini,Komredi Fikile Mbalula baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere (MJNLS), Jumatano, Januari 24, 2023.

Leave A Reply