KAULI ya POLISI Kuhusu Kijana Aliyesingiziwa Kesi, Akaokolewa na JPM – Video

Makao Makuu ya Jeshi la Polisi nchini kupitia msemaji wake, Ahmed Msangi limefafanua kuhusu kijana, Mussa Sadiki, aliyemundikia barua, Rais John Magufuli kupitia Gazeti la Majira ambayo ndani yake alilalamika kuwa amebambikiziwa Kesi ya Mauaji iliyokuwa ikimkabili.

 

Ambapo Jana Machi 15, Mwendesha Mashtaka wa Serikali, DPP Biswalo Mganga, alisema ofisi yake imeyafuta mashtaka hayo baada ya kufanya uchunguzi wa shauri kufuatia maagizo ya Rais Magufuli.

 

Hii hapa ni kauli ya Jeshi la Polisi

Toa comment