The House of Favourite Newspapers

Kerr ampongeza Matola

0

Dylan-KerrKocha mkuu wa Simba Dylan Kerr.

Martha Mboma na Omary Mdose

LICHA ya Selemani Matola kuondoka ndani ya kikosi cha Simba siku za hivi karibuni, kocha mkuu wa timu hiy, Dylan Kerr amempongeza kwa kupata timu nyingine.

Matola alibwaga manyanga ndani ya kikosi hicho baada ya kudai kuwa wamekuwa hawaelewani na Kerr, kwa sasa ni kocha mkuu wa Geita Gold Sport ya Ligi Daraja la Kwanza.

Akizungumza na Championi Ijumaa, Kerr alisema: “Nilikuwa sifahamu kama amefanikiwa kupata timu nnyingine, ndiyo mnaniambia sasa lakini siyo kitu kibaya na mpongeza ni jambo zuri ingawa mimi na yeye hatujawahi kuwasiliana hata siku moja tangu aondoke hapa klabuni.”

Leave A Reply