The House of Favourite Newspapers

Kesi ya Zitto Kuhusu CAG, Spika Ndugai Aitwa Mahakama Kuu

MAHAKAMA Kuu imetoa wito kwa Spika wa bunge Ndugu Job Ndugai kufika mahakamani leo kwenye kesi ya kikatiba kuhusu kinga ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kesi hiyo itakapotajwa kwa mara ya kwanza.

 

Kesi hiyo ya Kikatiba namba 01/2019 imefunguliwa Mahakama Kuu, Masjala Kuu na mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe dhidi ya Spika wa Bunge, Job Ndugai.

BUNGE LIVE: Kinachoendelea Dodoma Muda Huu – Maswali na Majibu

Comments are closed.