The House of Favourite Newspapers

Kifahamu Kibinti Chenye Lundo Babkubwa la Nywele

KIBINTI cha miaka mitano kutoka jiji la Tel Aviv, Israel, kiitwacho  Mia Aflalo Shunem, ni kivutio kikubwa katika ulimwengu wa mitindo, kwani kina lundo la nywele za asili ambazo zinawavutia watu wengi wanapokiona.

Mia huzitunza kwa kuzinyoosha kila mara, na amekuwa kivutio kwa makampuni na taasisi mbalimbali duniani ambazo humtumia kujitangaza.

Comments are closed.