The House of Favourite Newspapers

Kijana Amwaga Machozi “Nimevimba Mguu Kimaajabu” – Video

Kijana Goodluck Franck Minja mwenye umri wa miaka 18 anapitia maumivu makali baada ya kutokea kwa uvimbe mkubwa katika mguu wake wa kulia lakini chanzo cha Ugonjwa huo kinasikitisha.

 

Ni kijana mdogo ambaye bado anahitaji kutimiza ndoto zake, ameshindwa kuendelea na masomo kutokana na maumivu aliyonayo.

Comments are closed.