The House of Favourite Newspapers

KIM KARDASHIAN ANAIUZA RANGE ROVER YAKE

MWANAMITINDO na mtangazaji wa televisheni maarufu nchini Marekani,  Kim Kardashian West analiuza gari lake aina ya  Land Rover Range Rover V8 kwa Dola 85,000 (Sh. milioni 194).

Kim akiwa ndani ya gari hilo.

Staa huyo ameamua kwa sababu anazojua mwenyewe kuliuza gari hilo lenye aina kibao za anasa ndani yake ambalo lilikuwa likitumiwa na familia yake.

Comments are closed.