The House of Favourite Newspapers

Kim tena, atupia picha nyingine ya utupu mtandaoni

0

kim

Picha ya utupu aliyotupia Kim mtandaoni leo.

Mwanamitindo Kim Kardashian amezua sintofahamu tena mitandaoni baada ya leo kutupia picha yake nyingine akiwa mtupu.

Mrembo huyo ambaye ni mke wa mwanamuziki Kanye West ametupia picha hiyo ikiwa ni siku moja baada ya kuweka picha yake nyingine ya utupu katika akaunti yake ya Twitter na kushambuliwa na baadhi ya watu wakiwemo mastaa.

kim monday

Picha ya utupu aliyotupia Kim mtandaoni jana.

Picha aliyoweka leo Twitter inamuonyesha akiwa mtupu huku akiwa ameziba kwa mikono sehemu zake nyeti.

Miongoni mwa mastaa walioiponda picha yake ya jana ni pamoja na komediani maarufu wa Marekani, Bette Midler (70) aliyeandika kuwa ‘Kim Kardashian ametweet picha ya utupu leo,. Kama anataka tuone baadhi ya sehemu zake ambazo hatujawahi kuziona, inabidi ameze kamera.’

Bette Midler

Staa mwingine aliyempiga za chembe Kim ni mwanamitindo Chloe Moretz ambaye naye alimtaka Kim kuwa mfano bora kwa jamii.

Chloe Moretz (1) Chloe Moretz (2)

Leave A Reply