The House of Favourite Newspapers

KIMENUKA! Mashabiki Wavamia Uwanja Kisa Penati – Video

MASHABIKI wa Klabu ya Mangolo hivi karibuni walikinukisha na kuvamia uwanjani wakati wa mechi yao dhidi ya Chasimba FC maeneo ya Boko jijini Dar, wakidai mwamuzi wa mchezo huo amewanyima peanati.

Kutoka mtaani, Global TV Ripota amenasa video tukio hilo.

Tutumie video za matukio kama haya kutoka popote ulipo kupitia WhatsApp 0753 715 779, utaklipwa mkwanja mnono papo hapo.

SHUHUDIA VIDEO YA TUKIO HILO

Comments are closed.