The House of Favourite Newspapers

Kinyambe azikwa Uyole mkoani Mbeya

0

kINYAMBE (1)

Mamia ya wakazi wa Jiji la Mbeya leo wamejitokeza kuuaga mwili wa aliyekuwa msanii wa komedi James Kinyambe aliyezikwa nyumbani kwao huko Makondeko, Kata ya Igawilo, Uyole mkoani Mbeya.

kINYAMBE (2)

Kinyambe alifariki dunia Mei 11, 2016 akiwa katika Hospitali ya Mkoa wa Mbeya alipokuwa akipatiwa matibabu.

Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. AMEN.

Leave A Reply