The House of Favourite Newspapers

Kisa Usalama, Serikali Yawatimua Wafanyakazi wa Kampuni ya Mawasiliano

Serikali ya Uganda imewafukuza nchini humo viongozi wawili wa ngazi ya juu wa Kampuni ya Mawasiliano MTN, kutokana na kuhatarisha usalama wa taifa hilo. Waliofukuzwa ni Olivier Prentout, raia wa Ufaransa na Annie Tabura, raia wa Rwanda.

Comments are closed.