The House of Favourite Newspapers

KOCHA WA YANGA Aikubali KMC, Amchana Tambwe – Video

Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera amekiri kiwango kilichooneshwa na wapinzani wao KMC ya Kinondoni jijini Dar es Salaam ni bora na inastahili hata kuepo kwenye nafasi tatu za juu katika msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Akizungumza na wanahabari baada ya kumalizika kwa mchezo ambao Yanga iimeibuka na ushindi wa bao moja kwa bila amesema, timu ya KMC inacheza mpira wa kuvutia na wa kazi kuliko timu zingine mnyingi ambazo amekutana nazo msimu huu.

VIDEO: MSIKIE ZAHERA HAPA

Comments are closed.