The House of Favourite Newspapers

Kumenoga: Muonekano Mpya, Barabara Ya Dar – Kibaha -Video

0

Huu ndio kuonekano mpya wa barabara ya Kimara – Kibaha yenye urefu wa Km 19.2 ambayo kwa sasa upo katika hatua za mwisho za kukamilika kwake.

 

Ujenzi wa Barabara hii ya njia nane umegharimu zaidi bilioni 141 ambapo ni pamoja na ujenzi wa Madaraja na makaravati makubwa na madogo. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave A Reply