The House of Favourite Newspapers

Kutoka IG: Sister Fey Ateuliwa Kuwa ‘Mkuu wa Wilaya’ – VIDEO

Mwanamuziki asiyeishiwa vituko amnbaye kwa sasa anachukua nafasi kubwa katika vichwa vya habari nchini, Sister Fey ametoa kali ya mwaka baada ya kusema kuwa yeye ndiye staa pekee aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Instagram.

 

Sister Fey ambaye amezidi kupata umaarufu kutokana na ‘Kapo’ yake mpya na Kibenten wake anayeitwa Holystar amesema hakuna staa bongo anayependwa sana kwa sasa na kufuatiliwa kama yeye.

VIDEO: FUATILIA TUKIO HILO HAPA

Comments are closed.