The House of Favourite Newspapers

Kuwa Milionea Leo Hii na Mechi Hizi za FA

0

Ikiwa leo hii ni JUmapili tulivu kabisa, mechi za kombe la FA Uingereza linataka kukupa pesa endapo utabshiri na meridianbet kwnai huku kuna machaguo mengi sana ambayo unaweza ukachagua na yakakupatia mkwanja mnono. Ushindwe wewe tuu kujibweda.

Mechi kubwa leo hii ni ile inayowakutanisha kati ya Arsenal dhidi ya Liverpool yani ni kivumbi na jasho. Timu hizi zote mbili ziko nafasi nzuri kwenye msimamo wa ligi huku Jogoo akiwa kinara, lakini walipokutana kwenye ligi hakuna aliyekuwa mbabe. Meridianbet wamempa Mikel Arteta na vijana wake nafasi ya kushinda leo akiwa na ODDS 2.01 kwa 3.38. Suka mkeka wako hapa.

Huku West Ham  United wao wanatarajiwa kuwa wenyeji wa Bristol City ya ligi daraja la kwanza na wakiwa nafasi ya 11 kwenye msimamo wa ligi hiyo. Nafasi ya kushinda mechi hii amepewa mwenyeji akiwa na ODDS 1.35 kwa 7.84. Suka jamvi lako hapa.

Luton Town ambao wamepanda daraja msimu huu dhidi ya Bolton Wonderers ambao kushinda mechi hii wamepewa ODDS 4.50 kwa 1.68. Je nani kuondoka na pointi tatu leo hii? Ingia meridianbet na ubashiri mechi hii.

Ukiachana na mechi hizo za FA CUP, pia meridianbet wanakukumbusha kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Aviator, Roullette, michezo ya Sloti na mingine kibao. Ingia na ucheze sasa kwa dau dogo tuu.

Kivumbi kingine kitakuwa kati ya West Bromwich dhidi ya Aldershot Town majira ya saa 11:00 jioni. Mechi hii imepewa ODDS 1.20 kwa 10.78. Pesa ipo hapa ni zamu yako sasa kujipatia mkwanja. Chagua vizuri uamke na mkwanja hapo kesho.

Naye kipara, Pep Guardiola na Manchester City yake watakuwa nyumbani pale Etihad kukabiliana na Huddersfield Town ambao wapo nafasi ya 21 kwenye msimamo wa Championship huku wakishinda mechi 5 pekee kati ya 26 walizocheza. Beti sasa.

Huku Leeds watakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Peterborough kwenye michuano hii ya FA Uingereza. Timu hizi zilipokutana mwaka 2016 Leeds alipoteza ilikuwa mechi ya kirafiki. Leo hii wanakutana kwenye michuano hii huku kila timu ikifanya vizuri kwenye ligi yake. 4.31 na 1.65 ndio ODDS za timu hizi mbili. Jisajili hapa.

Nottingham Forest chini ya Nuno Santo watakuwa katika dimba lao la City Ground kukiwasha dhidi ya Blackpoool ya League 1. Nafasi ya kuondoka na ubabe leo hii amepewa mwenyeji akiwa na ODDS 1.39 kwa 6.86. Nani ni nani leo hii. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 pale meridianbet. Beti sasa

Leave A Reply