The House of Favourite Newspapers

Kuwait Yatoa Bilioni 110 Kujenga Barabara Mkoani Tabora

0

 

Kuwait yatoa msaada wa Tsh 110 bilioni kwa ajili ya kujenga barabara mkoani Tabora.

Rais Magufuli afanya mazungumzo na Mjumbe Maalumu wa Rais wa Msumbiji na Waziri wa Ulinzi wa nchi hiyo Jenerali Atanasio Salvador Ntumuke.

 

Rais Magufuli akiangalia malori mawili mapya ya kuzolea taka yaliyokabidhiwa kwa serikali na Balozi wa Kuwait Nchini, Jasem Ibrahim Al Najem.

Leave A Reply