The House of Favourite Newspapers

KWA BUKU TU… FUNGA MWAKA NA BAJAJ MPYAAAA!

Wakati Kampuni ya Michezo ya Kubashiri ya SportPesa ikiendelea na promosheni yake ya Shinda Zaidi na SportPesa ambapo Bajaj zinatoka kila siku, Watanzania wametakiwa kuendelea kushiriki promosheni hiyo kwani Bajaj bado zipo nyingi.

 

Katika promosheni hiyo iliyozinduliwa Septemba 20, mwaka huu, kulikuwa na Bajaj 100 zinazoshindaniwa ambapo kila siku mshindi mmoja anakabidhiwa Bajaj yake baada ya kubashiri na SportPesa.

 

Mkuu wa Udhibiti Viwango na Ubora wa SportPesa, Glory Hosea, amesema kuwa tangu promosheni hiyo ianze, tayari wametoa Bajaj 64 ambazo zimenyakuliwa na watu mbalimbali kutoka mikoa tofauti hapa nchini.

 

“Bado zipo Bajaj nyingi sana na mtu yeyote atakayebashiri na SportPesa anaweza kujishindia.

“Kwa hiyo niwaombe Watanzania wote kuendelea kubashiri na SportPesa ili waweze kujishindia Bajaj hizo lakini pia zawadi nyingine nyingi ambazo tumekuwa tukizitoa kwa washindi wetu,” alisema.

Glory alisema prom0sheni yetu ni kwa mitandao yote ya simu na mteja anaweza kushiriki kupitia simu yake ya mkononi kwa kupiga * 150*87# na kuweka pesa kwenye akaunti yake ya SportPesa kupitia AirtelMoney, MPESA, TigoPesa na Halopesa kisha kuweka ubashiri wake.

 

“Mbali na kushinda fedha za ubashiri wake ambazo huingizwa papo hapo kwenye akaunti ya mteja mara baada ya kubashiri kwa usahihi michezo aliyoweka, mteja anaweza kujishindia zawadi mbalimbali kama Bajaji, Simu janja(Smartphone), Jersey za Simba na Yanga pamoja na safari ya kwenda Hispania na Uingereza kushuhudia mitanange ya ligi zinazoendelea nchini humo.”

 

“Michezo anayoweza kushiriki ni pamoja na Jackpot (yenye mechi 13 ambayo kwa sasa ni zaidi ya shilingi milioni 394 yaani karibia milioni 400, hii ni Jackpotyenye kiasi kikubwa kuliko Jackpot zingine zozote nchini, pia mteja akibashiri kwa usahihi mechi kuanzia 10 hadi 12 anajipatia bonus kama zawadi.”

 

“Napenda kuwahamasisha watanzania wote kwamba washiriki na waendelee kubashiri na SportPesa kwani kuna mambo mbalimbali yanaendelea na wategemee mazuri zaidi kutoka kwetu

Comments are closed.