The House of Favourite Newspapers

Nafasi za kazi 2 Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Land Survey

0

POST FUNDI SANIFU MSAIDIZI – (LAND SURVEY) – 2 POST
POST CATEGORY(S) LAND MANAGEMENT
EMPLOYER Ministry of Lands, Housing and Human Settlements Development
APPLICATION TIMELINE: 2021-06-17 2021-07-01
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES i.    Kunakili au kuchora michoro ya mipangomiji;
ii.    Kuweka kumbukumbu za michoro inayohitaji kuidhinishwa; na
iii.    Kufanya marekebisho ya michoro ya Mipangomiji inyohitaji kuidhinishwa.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne au sita wenye mchepuo wa mafunzo ya ufundi ya miaka miwili katika fani ya Usimamizi Ardhi, Uthamini na Usajili kutoka Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION TGS B

BONYEZA HAPA KUTUMA MAOMBI

Leave A Reply