The House of Favourite Newspapers

LeBron Asaini Lakers, Aenda Italia Kujivinjari

LeBron (kulia).

 

NYOTA mpya wa mpira wa kikapu wa timu ya Lakers ya Marekani,  LeBron James , hivi sasa anakula bata nchini Italia baada ya kusaini kujiunga na timu yake hiyo mpya.

 

LeBron alisaini mkataba wa Dola mil. 153 (Sh. bin. 345) alipokutana na mchezaji wa zamani nyota Magic Johnson na kisha kuelekea  Portofino kuungana na familia yake.

 

LeBron akiwa Italia.

 

Comments are closed.