Leo Tena Kuna Champions League, Vuna Mkwanja na Sokabet

LIGI ya Mabingwa Ulaya ‘Uefa Champions League’ imerejea, tayari hatua ya makundi ya ligi hiyo msimu huu wa 2017/18 imeshaanza.

Yote hayo utayafanya ndani ya tovuti ya www.sokabet.co.tz ambayo inamilikiwa na Kampuni ya kubashiri matokeo ya Sokabet maarufu kwa jina la Wababe wa Kubet.

Ili uweze kupata nafasi ya kushiriki na kubashiri matokeo ya ligi hiyo pamoja na nyingine mbalimbali, hizi ni dondoo za kufanya hayo yote:

1. Fungua tovuti ya Sokabet
Katika tovuti ya www.sokabet.co.tz utapata kila kitu, ukifungau tu kulia kwako utaona pameandikwa ONLINE, hicho ni kipengele cha kukusaidia kuuliza chochote ambacho unahisi haujaelewa, hapo utajibiwa na mhudumu moja kwa moja.

2. Namba ya kampuni 335757
Namba ya kampuni ni 335757 hii utaitumia kuingiza fedha katika akaunti yako kisha unaweza kubet katika kipengele chochote unachotaka.

3. Jiandikishe bure
Baada ya kuingia www.sokabet.co.tz bonyeza sehemu ya ‘SIGN UP’, jaza nafasi zilizo wazi, ukimaliza utatumiwa namba yako ya siri kwa njia ya SMS, hapo utakuwa umeshafungua akaunti yako.

4. Ingia kwenye akaunti
Ukimaliza kujiandikisha rejea sehemu ya ‘LOGIN’, andika namba yako ya simu na ingiza namba ya siri ambayo ulitumiwa kwa njia ya SMS, hapo utakuwa umefungua akaunti yako. Ukirejea baadaye kufungua tovuti, hutakuwa na haja ya kujiandikisha upya, badala yake utaingiza namba ya simu kisha namba ya siri.

5. Ingiza fedha
Kwa Vodacom, bonyeza *150*00#, chagua namba 4 (lipa kwa M-pesa), chagua namba 4 (weka namba ya kampuni), ingiza namba ya kampuni ambayo ni 335757, kisha ingiza kumbukumbu ambayo ni neno ‘Sokabet’.

Baada ya hapo ingiza kiasi unachotaka mfano Sh 1,000 au 5,000 na kuendelea, utamalizia kwa kuingiza namba yako ya siri na bonyeza namba 1 kukamilisha mchakato.

Kwa Tigopesa, kubonyeza *150*01#, chagua namba 4 (lipia bili), bonyeza namba 3 (ingiza namba ya kampuni), ingiza namba 335757, kisha ingiza kiasi cha fedha, ingiza neno ‘Sokabet’, malizia na namba yako ya siri ya Tigopesa.

Kwa Airtel bonyeza *150*60#, chagua namba 5 (lipia bili), bonyeza namba 4 (namba ya kampuni), ingiza namba 335757, kisha ingiza kiasi cha fedha, itakwambia ingiza kumbukumbu namba (hapa ingiza neno ‘Sokabet’), kisha namba yako ya siri ya Airtel money.

6. Bet kwa Sh 200 tu
Ukimaliza kuingiza fedha kwenye akaunti yako ya Sokabet, utakuwa tayari kwa ajili ya kuanza kubashiri, kiwango cha chini kabisa ni shilingi 200 (mia mbili tu). Ukitatizika kwa chochote wasiliana na huduma kwa wateja kwa namba 0654705555.⁠⁠⁠⁠

Breaking News: Jambazi Aliyeongoza Mauaji ya Polisi 8 Kibiti Auawa -Dar


Stori zinazo husiana na ulizosoma

Toa comment