The House of Favourite Newspapers

Msafara Uliobeba Mwili wa JPM Kuelekea CCM Kirumba – Video

0

Maelfu ya wakazi wa Mwanza na maeneo jirani wamejitokeza kuupokea mwili wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Ndege wa Mwanza na kuusindikiza mwili huo mpaka Uwanja wa CCM Kirumba ambapo shughuli ya kuuaga inafanyika.

 

Leave A Reply