The House of Favourite Newspapers

Breaking News: Kiwanda cha Bora Kimeteketea Kwa Moto Usiku Huu (Video, Audio na Pichaz)

Kikosi cha zima moto wakiendelea kuzima moto huo Usiku huu.
Moto ukiendelea kuwaka kwa kasi.



KIWANDA cha kutengeneza viatu cha Bora kinachotengeneza viatu aina ya kandambili kinateketea kwa moto usiku huu chanzo cha moto chake hakijafahamika wala madhara yaliyosababishwa na moto huo.

Moto ni mkubwa sana ndani ya kiwanda hicho na kikosi cha zima moto kimeishiwa maji.

Hatibu Rashidi  ambaye ni Operation Manager wa Nile Security wanaojihusisha na ulinzi ndani ya kiwanda amesema moto ulianza mida ya saa mbili usiku.

Comments are closed.