The House of Favourite Newspapers

LIVE: Eric Shigongo Akifundisha Mbinu za Kufanikiwa Kimaisha

Mkurugenzi Mtendaji wa makampuni ya Global Group na mhamasishaji maarufu Afrika Mashariki na Kati, Eric Shigongo, akifundisha kwenye Semina ya Ujasiriamali inayofanyika katika kanisa la Agape Life lililoko Mbezi Beach-Jogoo jijini Dar es Salaam ambapo atafundisha njia mbalimbali za kufanikiwa kimaisha.

Comments are closed.