The House of Favourite Newspapers

Haji Manara: TFF Watuletee Kombe Jumamosi Kwa Mkapa -Video

0

MSEMAJI wa timu ya Simba SC, Haji Manara leo Juni 30, 2021 amezungumza na Waandishi wa Habari katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam amesema kuwa kama TFF itawapendeza watuletee kombe pale Uwanja wa Mkapa wakiwafunga Yanga wakabidhiwe kombe hilo.

 

“Hii ni mechi kubwa, tunahitaji mashabiki waje kwa wingi. Nawaomba Wanasimba baada ya mchezo tukiwa tumeshinda tubaki uwanjani na tuwapigie makofi wachezaji wetu kwa dakika tano kwa kuwa mabingwa mara nne mfululizo.”

 

“Heshima ya mpinzani lazima iwepo kama ambavyo huwa tukicheza na timu zingine. Mechi itakuwa nzuri.”

Heshima ya mpinzani lazima iwepo kama ambavyo huwa tukicheza na timu zingine. Mechi itakuwa nzuri.”

 

“Simba ndio timu bora kuwahi kutokea Afrika Mashariki kupata matokeo mazuri.”

“Dhamira yetu ni matokeo, kuwapa watu furaha. Wanasimba wanataka ushindi.” amesema Haji Manara.

Leave A Reply