The House of Favourite Newspapers

Video: Ibada Fupi ya Kuagwa kwa Mwili wa Mama Shigongo, Mikocheni


Shughuli ya kuaga mwili itaanza na baadaye utapelekwa kanisani kwa ajili ya ibada maalum na maombi kisha utasafirishwa kupelekwa jijini Mwanza kwa ajili ya mazishi ambapo utaagwa nyumbani kwa marehemu maeneo ya Nyakato Mecco, Mwanza Mjini Jumatatu kisha kusafirishwa tena kwenda katika Kijiji cha Bupandwamhela, Buchosa wilayani Sengerema, kwa ajili ya mazishi.

Bi. Asteria Kapela atapumzishwa katika nyumba yake ya milele, nyumbani kwake Bupandwamhela Jumatano ijayo ya Agosti 1, 2018 ambako ndiko alikozikwa mumewe, marehemu Mzee James bukumbi.

Comments are closed.