Kikosi cha Simba Chatua Dar Kuwavaa Mazembe-Video

Kikosi cha Simba SC kimewasili Jijini Dar es Salaam kutoka mkoani Arusha walikuwa wameweka kambi kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao wa Ligi.

Simba itashuka dimbani siku ya Jumapili kwa kuvaana na TP Mazembe katika mchezo wa kirafiki katika tamasha la #SimbaDay2021 kesho Jumapili, Septemba 19, 2021 katika uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.


Toa comment