The House of Favourite Newspapers

Hotuba ya Rais wa Mirsi na Rais Magufuli, Ikulu -Dar

0

MAPOKEZI SEHEMU YA PILI

 

IKULU, DAR: Rais John Magufuli amesema Tanzania imekubaliana na serikali ya Misri kuja kuanzisha kiwanda kikubwa cha nyama ili kukuza ushirikiano wa kibiashara baina ya nchi hizi mbili.

Aidha, Tanzania na Misri zimekubaliana kuendeleza ushirikiano katika maeneo mbalimbali ya Kiuchumi, Elimu, Afya na Utalii.

 

MAPOKEZI SEHEMU YA KWANZA

Leave A Reply