The House of Favourite Newspapers

LIVE: MKUTANO WA BUNGE WA KUMI NA MOJA KIKAO CHA 27

Kikao cha 27, mkutano wa 11 wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeanza muda huu Bungeni mjini Dodoma, likiwa linaongozwa na Mwenyekiti wa Bunge Andrew Chenge ambapo wameanza na kipindi cha maswali na majibu kwa Waziri Mkuu.

Comments are closed.