The House of Favourite Newspapers

EXCLUSIVE: Wema Abariki Ndoa ya Diamond na Mobeto – Video

MALKIA wa Bongo Movies, Wema Sepetu amesema kuwa mpaka sasa hana tatizo kabisa na aliyekuwa mpenzi wake, Staa wa Bongo Fleva, Diamond Pltinumz endapo ataoana na mzazi mwenzake, mwanamitindo Hamisa Mobetto, ambaye amekua akionekana kama mpinzani wake kwa Diamond.

MSIKIE WEMA AKIFUNGUKA ISHU HIYO

Comments are closed.