The House of Favourite Newspapers

LIVE: RAIS MAGUFULI ANAZUNGUMZA NA MADAKTARI MUDA HUU

0


Rais Dkt John Magufuli, leo Februari 20, amekutana na madaktari na wauguzi kuelekea maadhimisho ya siku ya madaktari kitaifa..

Kauli mbiu katika mkutano huo ni.. “Hatua Zetu kuelekea huduma bora za afya kwa wote nchini” Mkutano huo umefanyika katka ukumbi wa mikutano wa JNICC Jijini Dar es Salaam.

Leave A Reply