LIVE: SportPesa Waimwagia Mapesa Yanga

KAMPUNI ya Michezo ya Kubahatisha ya SportPesa ya nchini Kenya imetia saini mkataba wa kuidhamini Klabu ya Yanga kwa miaka mitano.

Katika Mkataba uliosainiwa leo, mwaka wa kwana Yanga watanufaika kwa kupata Tsh. milioni 950 ambapo ndani ya miaka mitano watapata zaidi ya Tsh. bilioni 5.

Aidha katika mkataba huo, Yanga watavaa jezi zenye nembo ya SportPesa.


Stori zinazo husiana na ulizosoma

Toa comment