LIVE: SportPesa Waimwagia Mapesa Yanga - Global Publishers


Imewekwa na on May 17th, 2017 , 12:09:35pm

LIVE: SportPesa Waimwagia Mapesa Yanga

KAMPUNI ya Michezo ya Kubahatisha ya SportPesa ya nchini Kenya imetia saini mkataba wa kuidhamini Klabu ya Yanga kwa miaka mitano.

Katika Mkataba uliosainiwa leo, mwaka wa kwana Yanga watanufaika kwa kupata Tsh. milioni 950 ambapo ndani ya miaka mitano watapata zaidi ya Tsh. bilioni 5.

Aidha katika mkataba huo, Yanga watavaa jezi zenye nembo ya SportPesa.

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Stori zinazo husiana na ulizosoma

Be the first to comment on "LIVE: SportPesa Waimwagia Mapesa Yanga"

Leave a comment