VIONGOZI wa Vyama 8 vya UPINZANI, Walipuka Kuhusu UCHAGUZI!

Baadhi ya viongozi wa vyama nane vya upinzani vimeungana na kuzungumza na wanahabari leo Mei 22, kuhusiana na pingamizi lao dhidi ya wakurugenzi kusimamia Uchaguzi ambapo wanadai hawapaswi kusimamia uchaguzi.

 


Loading...

Toa comment