The House of Favourite Newspapers

Warembo wa Miss Tanzania Wakielezea Maisha Yao ya Kambini

0

WASHIRIKI wa Shindano la Miss Tanzania 2020, wametembelea ofisi za Global Publishers ambapo wamefanya mahojiano maalumu na kueleza uzoefu wao baada ya kukaa kambini kwa muda na nini matarajio yao kuelekea siku ya shindano.

Leave A Reply