The House of Favourite Newspapers

Viboko VYATIKISA Bungeni, Spika Akumbushia Alivyomtwanga Mgombea – Video

SAKATA la walimu kuwaadhibu wanafunzi mpaka kufikia hatua ya wanafunzi kupoteza maisha au kupata majeraha na ulemavu wa kudumu limewagusa wabunge na kusababisha wambane Waziri mwenye dhamana ya Elimu, Profesa Ndalichako na Naibu wake Olenasha, waweze kueleza ni adhabu ipi hasa anayotakiwa kuadhibiwa mwanafunzi anapokwenda kinyume na taratibu za shule.

Comments are closed.